Hatua za kufuata ili kupata salary slip kwa njia ya mtandao
1. Tumia anuani hii https://salaryslip.mof.go.tz ili kuweza kujisajili kwa mara ya kwanza au kuingia kwenye mfumo wa salary slip kama ulishajisajli.
2. Kabla ya kujisajili hakikisha taarifa zinazohitajika kujazwa ziwe sawa na zilizopo kwenye mfumo wa Lawson
3. Kama hauna uhakika na taarifa zako wasiliana na Afisa Utumishi wa Halmashauri
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.