• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano

Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano (TEHAMA)

Kitengo cha (TEHAMA) kimeanzishwa mwaka 2013 ambacho ni muunganiko wa Kitengo cha IT na Uhusiano. Kitengo hiki kinaongozwa na Sera ya TEHAMA (2003), na Sera ya Utangazaji Habari (2004).  Ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa 1) Bila ya kuathiri sheria ya nchi,kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta,kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo cha habari chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati. (2) kila raia ana haki ya kupashwa habari wakati wote kuhusu matukio mbalimbali ya nchini na duniani kote yenye umuhimu kwa maisha na shughuli za wananchi , pia kwa masuala yenye umuhimu kwa jamii.

Majukumu ya Kitengo

  • Kuweka mahusiano bora baina ya Halmashauri pamoja na Umma na wadau mbalimbali pamoja na kutoa elimu kwa Umma.
  •  Kuandaa machapisho mbalimbali ya Halmashauri.
  •  Kuratibu masuala ya kiitifaki ikiwemo kupokea wageni,kazi ambayo inafanywa na afisa habari wakati wa kuwa mshereheshaji.
  •  Usimamizi wa Mifumo ya Kompyuta(Systems Administration)
  •  Usimamizi wa Mtandao wa Kompyuta pamoja na vifaa vyake  (Network and hardware adminstration).
  •  Usimamizi wa kanzidata ya Takwimu(Database Administration)
  •  Usimamizi wa tovuti na barua pepe (website&emails administration ).
  •  Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.
  • Kuandaa mahitaji katika Ununuzi wa vifaa vya TEHAMA.

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI KILINDI D-TANGA May 03, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI June 07, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YANUNUA KILO 3707 ZA MBEGU ZA MAHARAGWE KUPITIA MAPATO YA NDANI

    March 21, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YANUNUA KILO 890 ZA MBEGU ZA ALIZETI KUPITIA MAPATO YA NDANI

    March 20, 2023
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI AMSHUKURU MH:RAIS KWA KUIPATIA HALMASHAURI PIKIPIKI

    March 20, 2023
  • MRADI WA UJENZI WA NYUMBA YA MADAKTARI WAKAMILIKA

    March 13, 2023
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.