• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

Idara ya Maendeleo ya Jamii

1.0 Utangulizi

Idara ya Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana ni kati ya idara za  Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi. Idara ina vitengo vya Maendeleo ya Jamii,  Ustawi wa Jamii na Vijana, ambapo majukumu yake ni kuratibu na kusimamia upatikanaji wa huduma za jamii na utekelezaji wa mipango ya maendeleo katika ngazi ya jamii. Katika utekelezaji wake Idara inaratibu mipango ya maendeleo ikiwa ni pamoja na  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF - Tanzania Social Action Fund), Mfuko wa Afya ya Jamii iliyoboreshwa(CHF – Re-organized Community Health Fund), Mpango wa Kudhibiti UKIMWI, Mpango wa kurasimisha rasilimali na Biashara za Wanyonge wa Tanzania (MKURABITA), Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (WDF), Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF) na Kuratibu asasi zisizokuwa za ki serikali (NGOs & CBOs) na vikundi vya kiuchumi.

2.0 Muundo na Rasilimali watu.

Idara ya Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ina vitengo vitatu, ambavyo ni kitengo cha  Maendeleo ya Jamii, kitengo cha Ustawi wa Jamii na Kitengo cha Vijana. 

3.0 Majukumu yanayotekelezwa na idara

Idara kwa kutumia rasilimali mbalimbali zilizopo utekeleza majukumu yake kwa mgawanyo unaozingatia taaluma na miundo ya serikali.

3.1 Kitengo cha Maendeleo ya Jamii

  • Lengo kuu la Kitengo;
  • Kusaidia jamii kutafsiri fursa na vikwazo vilivyopo katika mazingira yao na kutumia rasilimali zilizopo kujiletea maendeleo.
  • Ili kufikia lengo kuu, kitengo kimekuwa na majukumu yanayotekelezwa katika ngazi mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  • Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera za  Maendeleo ya Jamii katika ngazi za vijiji na kata. 
  • Kuratibu na kusimamia asasi za kiraia zinazotekeleza shughuli za Maendeleo katika Wilaya.
  • Kuratibu na kusimamia Asasi za kiraia katika wilaya ( NGOs, CBOs na vikundi vya kiuchumi)
  • Kuratibu na Kusimamia miradi ya Mfuko wa Wanawake (WDF) katika ngazi ya Wilaya
  • Kuratibu na Kusimamia miradi ya Mfuko wa  Vijana (YDF) katika ngazi ya Wilaya
  • Kusimamia na kuratibu miradi/mipango iliyoko chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii (TASAF, CHF, KUDHIBITI UKIMWI, MKURABITA,n.k )
  • Kutoa mapendekeo ya kukabiliana na vikwazo vya maendeleo ya makundi maalum wakiwemo wanawake, watoto, wazee na walemavu.
  • Kuandikisha na kutunza rejista za vikundi vya maendeleo ya makundi maalumu wakiwemo vijana, wanawake na walemavu.
  • Kuhamasisha na kutoa Mapendekezo juu ya ushirikishaji jamii katika kubuni na kupanga miradi ya maendeleo  kwa kutumia teknolojia rahisi na sahihi.
  • Kufuatilia na kuuhisha rejista za wakazi katika ngazi za vijiji na vitongoji.
  • Kusimamia na kutafsiri sheria za Ustawi wa Jamii (Mtoto,Wazee, Ndoa)  katika ngazi ya Wilaya.

3.2 Kitengo cha Ustawi wa Jamii

  • Lengo kuu la Kitengo;
  • Kusaidia watu kutambua haki na wajibu wao katika kutoa huduma za kijamii na hasa makundi maalumu wakiwemno watoto, wazee na walemavu.
  • Ili kufikia lengo kuu, kitengo kimekuwa na majukumu yanayotekelezwa katika ngazi mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  1. Kufuatilia na Kusimamia upatikanaji wa haki za  wazee wenye mahitaji maalumu
  2. Kutetea haki za watoto na wanafamilia wanaoonewa katika ngazi ya kaya na vyombo vya sheria.
  3. Kuwezesha na kusimamia vituo vya kulelea watoto yatima
  4. Kutekeleza mipango kuhusu watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi
  5. Kusimamia na kutafsiri sheria ya mtoto katika ngazi ya Wilaya na vijiji
  6. Kusimamia na kutafsiri sheria ya mtoto katika ngazi ya Wilaya, kata na vijiji

3.3 Kitengo cha Vijana

  • Lengo kuu la Kitengo;

Kusaidia vijana kupata mbinu za kujiinua kiuchumi na kutambua fursa na vikwazo  vilivyo katika mazingira yao na kujiletea maendeleo. 

  • Ili kufikia lengo kuu, kitengo kimekuwa na majukumu yanayotekelezwa katika ngazi mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  • Kuhimiza maendeleo ya Elimu na Ujuzi kwa Vijana
  • Kutokomezaji wa umaskini na mfungamano wa vijana kiuchumi na kijamii
  • Kuwezesha maisha endelevu na ajira kwa vijana
  • Kuwezesha maendeleo endelevu na hifadhi ya mazingira
  • Kuhamasishaji wa maadili na desturi njema za kiafrika kwa vijana
  • Kuratibu mabaraza ya vijana katika ngazi ya kata na wilaya

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI KILINDI D-TANGA May 03, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI June 07, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAKAZI WA WILAYA KILINDI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA

    September 15, 2021
  • WAKAZI WA KATA YA PAGWI WAANZISHA STOO YA MATOFALI

    August 07, 2021
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI MBALIMBALI

    August 05, 2021
  • JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA BINTI WA MIAKA 6

    April 22, 2021
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.