• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YAPATIWA SHILINGI MILIONI 100 KUMALIZIA UJENZI WA ZAHANATI MBILI

Posted on: February 1st, 2023

Serikali katika kuhakikisha huduma za kijamii ikiwemo afya zinasogezwa karibu na wananchi imeipatia tena Halmashauri ya wilaya Kilindi mkoani Tanga kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati katika vijiji vya Elerai na Lulago.

Majengo hayo ya zahanati ya kijiji cha Elerai kilichopo kata ya Kibirashi na Lulago kilichopo kata ya Lwande yalianza kujengwa kwa kutumia nguvu za wananchi na serikali imetoa kiasi hicho cha fedha ili kuunga mkono jitihada za wananchi wake

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Kilindi ndugu Gracian Makota alisema fedha hizo zitasaidia wananchi hao na Halmashauri nzima kuendelea kuboresha miundombinu ya afya na kuisaidia jamii hususani wakina mama wajawazito na watoto wanaotaabika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya.

Mkurugenzi Makota ameishukuru serikali inayoongozwa na Mh:Rais Dk Samia suluhu Hassan kwa namna ambavyo imedhamiria kwa vitendo kutatua changamoto za wananchi kwa wake.

Wakazi wa kijiji cha Elerai wanapata huduma za afya katika zahanati ya Kibirashi ambayo ipo umbali wa kilomita  5 ambapo wakazi wa kijiji cha Lulago wanapata huduma katika zahanati ya Kwadundwa iliyopo umbali wa kilomita 8 ambapo wakati wa mvua wakazi wa kijiji cha Lulago huwawia vigumu kupita katika njia yao ambayo ina miinuko mikali kutokana na jiografia yao ya miinuko.

Tayari serikali kuu imetoa kiasi cha shilingi milioni 300 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa zahanati 6 zikiwemo Kwamfyomi,Mmbogo,Mnkonde,Mabalanga,Kwamaligwa na Misufini.

Modi Mngumi-Kilindi

MWISHO

 

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 17, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MRADI WA MAJI KWAMALIGWA-GITU KUNUFAISHA WAKAZI 36,263

    June 17, 2025
  • MWENGE WA UHURU WILAYANI KILINDI WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 7.9

    June 10, 2025
  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • WAKAZI WA MGERA WALIOJENGA KANDO YA MTO LUKIGULA WATAKIWA KUONDOKA

    December 20, 2024
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.