• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO HALMASHAURI YA WILAYA KILINDIY ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA KWAMWANDE NA KUMSHUKURU MH RAIS DK SAMIA KWA KUUNGA MKONO NGUVU ZA WANANCHI

Posted on: May 5th, 2024

Wajumbe wa kamati ya fedha,uongozi na mipango katika Halmashauri ya wilaya Kilindi wametembela mradi wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Kwamwande na kutoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha  shilingi milioni 50 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za wananchi walioanza ujenzi huo kwa nguvu zao

Ziara hiyo ilifanyika tarehe 04/05/2024  ikiwa ni mojawapo ya majukumu ya kamati hiyo kukagua miradi na kujionea maendeleo yake ili kujiridhisha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya wananchi

Akizungumza katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kilindi Mh:Idrisa Mgaza alisema wameridhishwa na ujenzi lakini ipo haja ya kuongezwa mafundi ili kazi imalizike haraka

Ujenzi wa zahanati ya Kwamwande ulianza mwaka 2018 kwa nguvu za wananchi  ambapo michango ya wananchi ni shilingi  milioni 20,310,100 waliojenga mpaka hatua ya  upauaji, shilingi 4,800,000  ni thamani ya ya mabati 150 kutoka Mfuko wa jimbo,shilingi 450,000 ni thamani ya tripu tatu za mchanga kutoka kwa mzabuni aliyejenga kipande cha barabara kutoka Mafisa hadi Mnazi na shilingi milioni 50 kutoka serikali kuu.

Wajumbe wa kamati hiyo walisema serikali imeunga mkono juhudi za wananchi wa kijiji cha Kwamwande ili kuhakikisha mradi unakamilika mapema na kuleta tija kwa jamii

Mradi wa zahanati ya Kwamwande  ambao unatarajiwa kukamilika tarehe 30/04/2024 utakapokamilika utatoa huduma kwa wananchi 10,921 wa vijiji vya Kwamwande na Kwastemba

 Walisema kamati hiyo itatembelea tena mradi huo tarehe 14/05/2024 ili kuona utekelezaji wa maagizo waliyotoa na kujiridhisha na mwenendo wa ujenzi wa mradi

MODI MNGUMI

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 17, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • WAKAZI WA MGERA WALIOJENGA KANDO YA MTO LUKIGULA WATAKIWA KUONDOKA

    December 20, 2024
  • JAMII ITOE KIPAUMBELE ULAJI WENYE MAKUNDI YOTE MUHIMU YA VYAKULA

    December 12, 2024
  • HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI 569,850,000.00

    November 18, 2024
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.