• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

KILINDI YAANZA UKAGUZI WA MAENEO YA UJENZI WA VYUMBA 18 VYA MADARASA

Posted on: October 8th, 2022

Siku chache baada ya kuingiziwa fedha na serikali kuu kiasi Cha shilingi milioni 360 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 18 vya madarasa tayari Halmashauri ya wilaya Kilindi imeanza utekelezaji kwa kuanza kukagua maeneo ya ujenzi


Pichani juu ni timu ya ukaguzi ujenzi wa vyumba hivyo ikiongozwa na Afisa Mipango wa Halmashauri ya wilaya Kilindi ndugu Bahati aliyevaa suti ya bluu  ikifanya ukaguzi wa maeneo vyumba hivyo vitakapojengwa katika shule ya sekondari Kibirashi iliyopo kata ya Kibirashi


Ujenzi wa madarasa hayo 18 unatakiwa kutekelezwa kwa haraka ili kutatua tatizo la upungufu wa vyumba hivyo


Awali akizungumzia fedha hizo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Kilindi ndg Gracian Makota amesema ujenzi wa vyumba hivyo katika shule za sekondari utatekelezwa haraka iwezekanavyo na kuwata wahusika wote wa ujenzi kuhakikisha wanasimamia na kutekeleza ujenzi kwa wakati

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI KILINDI D-TANGA May 03, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI June 07, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WILAYA KILINDI YAUNGANA NA WATANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA

    December 09, 2023
  • MHE. MGANDILWA AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI HOSPITALI YA WILAYA

    December 06, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI YAPOKEA PIKIPIKI TATU KUTOKA SERIKALI KUU

    December 04, 2023
  • SERIKALI WILAYANI KILINDI YAMSAIDIA KITIMWENDO MTOTO MLEMAVU WA VIUNGO KITIMWENDO

    June 02, 2023
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.