• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

Posted on: January 5th, 2025

Waziri wa Ujenzi  Mh:. Abdalah Ulega  amefanya ziara ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Handeni - Mafuleta inayojengwa kwa kiwango cha lami km 20 za awamu ya kwanza.

Waziri Ulega alifanya ziara hiyo tarehe 03/01/2025  na kufanya  mkutano wa hadhara  katika kijiji cha Mafuleta kilichopo katika kata ya Jaila

Mh:Ulega katika mkutano huo aliwaambia  wananchi wa Wilaya ya Kilindi kuendelea kuwa wavumilivu na kumuunga mkono Mh. Rais Dk Samia kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuwaletea wananchi maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali na kuahidi kuipa kipaumbele barabara hiyo   kwa kuhakikisha Mkandarasi anapata fedha kwa kadri zitakavyotolewa na Serikali ili kumuwezesha kukamilisha mradi huo.

Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Handeni - Kibirashi - Singida kwa kiwango cha lami unatekelezwa kwa fedha za ndani za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa gharama ya Tsh. Bilioni 25 baada ya kuongezeka kwa muda wa mkataba.

Akitoa salamu za chama Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilindi Mh:Mohamed Kumbi  alisema kukosekana kwa  barabara bora zinazounganisha Wilaya ya Kilindi na wilaya za jirani  sambambaba na barabara za vijijini  zinazosimamiwa na TARURA  kunaleta dosari  na kufifisha mambo mengi mazuri yaliyofanywa na serikali ya awamu ya sita.

Hata hivyo amemhakikishia Mh. Waziri kuwa  bado Wananchi wa wilaya ya  Kilindi wanamshukuru  Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwa wanatambua kazi kubwa anayoendelea kuifanya Kilindi hususani katika Ujenzi wa miradi mbalimbali ya Elimu, Afya, Maji na Umeme.

Akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Kilindi ndg Tamko Mohamed Ally Katibu Tawala wa Wilaya amemshukuru Mh. Waziri  kwa kutembelea mradi huo huku akimhakikishia kuwa wananchi wa Kilindi wataendelea kuwa wavumilivu kwa kuwa wanatambua juhudi za  Dkt Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha WanaKilindi na Watanzania kwa ujumla wanawekewa mazingira mazuri ya kujikwamua kiuchumi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 17, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • WAKAZI WA MGERA WALIOJENGA KANDO YA MTO LUKIGULA WATAKIWA KUONDOKA

    December 20, 2024
  • JAMII ITOE KIPAUMBELE ULAJI WENYE MAKUNDI YOTE MUHIMU YA VYAKULA

    December 12, 2024
  • HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI 569,850,000.00

    November 18, 2024
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.