• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

SHULE YA KONGWE YA MSINGI SANGENI YAPATIWA SHILINGI MILIONI MIA MOJA ZA UKARABATI

Posted on: January 27th, 2023

Serikali kuu imetoa kiasi cha shilingi milioni mia moja  kwa ajili ya ukarabati wa shule kongwe ya msingi Sangeni iliyopo kata ya Jaila katika Halmashauri ya wilaya Kilindi.

Akizungumzia ujenzi huo Kaimu Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya Kilindi Bwana Bahati Kahindi alisema fedha hizo zimetolewa na serikali kuu kupitia mradi wa EP4R

Alisema ukarabati katika shule hiyo kongwe utafanikisha kuirudisha shule hiyo katika hali nzuri na kuishukuru serikali inayoongozwa na Mh:Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyotekelza ilani ya chama cha Mapinduzi kwa vitendo

Bwana Kahindi alisema serikali imedhamiria kwa vitendo kuboresha huduma za kijamii ikiwemo elimu  na afya ili wananchi wapate huduma bora kwa maslahi mapana ya jamii

Akizungumzia historia ya shule hiyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi Sangeni bwana Salimu Mbogo alisema Sangeni ni shule kongwe ambayo ilisajiliwa na serikali tarehe 01/07/1907

Alisema wanamshukuru Mh:Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyohakikisha miundombinu ya elimu inaboreshwa na kuwataka wazazi,walezi  na jamii wanashirikiana na walimu katika kuhakikisha vijana wanazingatia masomo  ili kuongeza ufaulu kwani watoto hao ndio taifa la kesho.

MWISHO

MODI MNGUMI-KILINDI

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI KILINDI D-TANGA May 03, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI June 07, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YANUNUA KILO 3707 ZA MBEGU ZA MAHARAGWE KUPITIA MAPATO YA NDANI

    March 21, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YANUNUA KILO 890 ZA MBEGU ZA ALIZETI KUPITIA MAPATO YA NDANI

    March 20, 2023
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI AMSHUKURU MH:RAIS KWA KUIPATIA HALMASHAURI PIKIPIKI

    March 20, 2023
  • MRADI WA UJENZI WA NYUMBA YA MADAKTARI WAKAMILIKA

    March 13, 2023
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.