Posted on: March 21st, 2023
Halmashauri ya wilaya Kilindi imenunua kilo 3707 za mbegu za Maharagwe na kuzigawa kwa wakulima wa kata tano.
Mbegu hizo zinatosheleza kulima ekari 106 na zitagawanywa katika kata za Pagwi,Masagalu...
Posted on: March 20th, 2023
Halmashauri ya wilaya Kilindi imenunua kilo 845 za mbegu za Alizeti na kuzigawa kwa wakulima wa kata tano.
Mbegu hizo zinatosheleza kulima ekari 445 na zimegawanywa katika kata za Pagwi,Kikunde,Kil...
Posted on: March 20th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Kilindi bwana Gracian Makota amemshukuru Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuipatia Halmashauri Pikipiki 6
Mkurugenzi Makota alisema Pikipi...