Posted on: January 22nd, 2023
Serikali kuu imetoa shilingi milioni hamsini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya walimu katika shule ya msingi Kwamazuma iliyopo katika kijiji cha Kwamazuma kilichopo kata ya Kilindi.
Ujenzi wa nyumba...
Posted on: January 21st, 2023
Halmashauri ya wilaya Kilindi imekamilisha ujenzi wa vyumba 18 vya madarasa katika shule za sekondari 11.
Ujenzi Wa vyumba hivyo umetekelezwa kufuatia serikali kuu kutoa fedha &nb...
Posted on: November 23rd, 2022
Serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 429,720,000/= kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Songe ikiwa ni utekelezaji kwa vitendo wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ili kuondoa kero za wananchi wake.
A...