Posted on: April 22nd, 2021
Mahakama ya Wilaya Kilindi imemhukumu Elton Chrisopher (19) mkazi wa kijiji cha Kigwama kata ya Msanja kwenda jela miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka 6.
Hukumu hiyo ya ...
Posted on: January 16th, 2021
Wananchi katika wilaya Kilindi wametakiwa kuzingatia kanuni za usafi wa mazingira ikiwa ni moja ya afua zinazosaidia kupambana na ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa ukisababisha athari za kiafya na vifo...
Posted on: January 15th, 2021
Halmashauri ya wilaya Kilindi imefanikiwa kutoa mkopo wa Pikipiki 10 kwa vikundi 2 vya vijana wenye thamani ya Tsh milioni 23.5.
Akikabidhi Pikipiki hizo kwa vikundi hivyo Mh:Mbunge wa Jimbo la Kil...