Posted on: November 18th, 2020
Mkuu wa wilaya Kilindi Mh: Sauda Mtondoo amewataka watumishi wa serikali wilayani hapa kutokuwa chanzo cha kusababisha kero kwa wananchi na badala yake wawe sehemu ya kutatua kero hizo.
Mh:Mkuu wa ...
Posted on: September 2nd, 2020
Benki ya NMB imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni kumi kwaajili ya mikopo kwa Wakulima wa mazao mbalimbali ndani ya Wilaya ya Kilindi katika mwaka wa fedha 2020/2021, ameyasema hayo Meneja Mahusi...
Posted on: August 7th, 2020
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kilindi Ndg.Gracian Max Makota, amewataka wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata kuhakikisha kuwa wanatenda haki kwa vyama vya siasa na wagombea wote watak...