Posted on: June 2nd, 2023
Ofisi ya Mkuu wa wilaya Kilindi imemsaidia mtoto Chistosia Musa (13) kitimwendo chenye thamani ya shilingi 270,000/=
Kitimwendo hicho kimekabidhiwa tarehe 01/06/2023 kwa mtoto Christosia kati...
Posted on: May 29th, 2023
Umoja wa wazazi na walimu (UWAWA) kupitia mradi wa Shule Bora umezaa matunda kwa watoto wa shule ya msingi Kwamazuma iliyopo kata ya Kilindi katika Halmashauri ya Wilaya Kilindi baada ya kufanikisha u...
Posted on: May 9th, 2023
Halmashauri ya wilaya Kilindi yajiandaa kuanzisha kitengo cha matibabu ya utapiamlo mkali kitachosaidia wakazi wake kupata matibabu mahali walipo badala ya kufuata matibabu hayo katika hospitali ya mk...