Posted on: April 27th, 2023
Vituo vya huduma za afya katika Halmashauri ya wilaya Kilindi vimeondokana na tatizo la uhaba wa mashine za kupimia shinikizo la damu
Mfamasia wa Halmashauri ya wilaya Kilindi Mariam A.Samiji alise...
Posted on: April 27th, 2023
Halmashauri ya wilaya Kilinid kupitia fedha za mapato yake ya ndani imenunua kiasi cha tani 2 za mbegu bora ya Mpunga SARO 5 (TXD 306) kutoka ASA Morogoro
Mbegu hiyo inatosha kulima ekari 167  ...
Posted on: April 21st, 2023
Serikali imeipatia Halmashauri ya wilaya Kilindi mitungi ya gesi 31 kwa ajili ya hospitali ya wilaya na kituo cha Afya Songe
Mfamasia wa Halmashauri bibi Mariamu Abubakar alisema katika mitungi hiy...